\v=20 \v~=Kwa hiyo \nd Bwana\nd* aliwakataa watu wote wa Israeli; akawatesa na kuwaachia katika mikono ya wateka nyara hadi alipowaondoa kutoka kwenye uwepo wake. \¬v \¬p