\p \v=21 \v~=Alipokwisha kuwatenga Israeli mbali na nyumba ya Daudi, wakamfanya Yeroboamu mwana wa Nebati kuwa mfalme wao. Yeroboamu akawashawishi Israeli waache kumfuata \nd Bwana\nd* na akawasababisha kutenda dhambi kuu. \¬v