\p \v=34 \v~=Mpaka leo wanashikilia desturi zao za zamani. Hawamwabudu \nd Bwana\nd* wala kuzishika hukumu na maagizo, sheria na amri ambazo \nd Bwana\nd* aliwapa uzao wa Yakobo, ambaye alimwita Israeli. \¬v