\v=36 \v~=Bali imewapasa kumwabudu \nd Bwana\nd* aliyewapandisha kutoka Misri kwa uwezo wake mkuu na kwa mkono wake ulionyooshwa. Kwake yeye mtasujudu na kwake yeye mtatoa dhabihu. \¬v