\v=41 \v~=Hata wakati watu hawa walipokuwa wanamwabudu \nd Bwana\nd*, walikuwa bado wakitumikia sanamu zao. Mpaka leo watoto wao na watoto wa watoto wao wanaendelea kufanya kama baba zao walivyofanya. \¬v \¬p \¬c