\v=9 \v~=Waisraeli wakafanya vitu kwa siri dhidi ya \nd Bwana\nd* Mungu wao, ambavyo havikuwa sawa. Kuanzia kwenye mnara wa ulinzi hadi kwenye mji wenye maboma walijijengea wenyewe mahali pa juu pa kuabudia miungu katika miji yao yote. \¬v