\v=14 \v~=Basi Hezekia mfalme wa Yuda akamtumia ujumbe mfalme wa Ashuru huko Lakishi akisema: “Nimefanya makosa. Ondoka katika nchi yangu, nami nitakulipa chochote unachokitaka kwangu.” Mfalme wa Ashuru akamtoza Hezekia mfalme wa Yuda talanta 300\f + \fr 18:14 \ft Talanta 300 za fedha ni sawa na tani 10.\f* za fedha, na talanta thelathini\f + \fr 18:14 \ft Talanta 30 za dhahabu ni sawa na tani moja.\f* za dhahabu. \¬v