\p \v=16 \v~=Wakati huu Hezekia mfalme wa Yuda akabandua dhahabu yote iliyokuwa imefunika milango na miimo ya Hekalu la \nd Bwana\nd*, akampa mfalme wa Ashuru. \¬v \¬p