\v=25 \v~=Zaidi ya hayo, je, nimekuja kushambulia na kuangamiza mahali hapa pasipo neno kutoka kwa \nd Bwana\nd*? \nd Bwana\nd* mwenyewe ndiye aliniambia niishambulie nchi hii na kuiangamiza.’ ” \¬v \¬pm