\p \v=5 \v~=Hezekia aliweka tumaini lake kwa \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli. Hapakuwepo na mfalme mwingine wa kufanana naye miongoni mwa wafalme wa Yuda, kabla yake au baada yake. \¬v