\v=7 \v~=Naye \nd Bwana\nd* alikuwa pamoja naye, akafanikiwa katika kila alichokifanya. Aliasi dhidi ya mfalme wa Ashuru, wala hakumtumikia. \¬v