\v=15 \v~=Naye Hezekia akamwomba \nd Bwana\nd* akisema: “Ee \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli, uketiye juu ya kiti cha enzi kati ya makerubi, wewe peke yako ndiwe Mungu juu ya falme zote za dunia. Wewe umeumba mbingu na nchi. \¬v