\p \v=17 \v~=“Ni kweli, Ee \nd Bwana\nd*, kwamba wafalme wa Ashuru wameyaangamiza mataifa haya na nchi zao. \¬v