\p \v=35 \v~=Usiku ule, malaika wa \nd Bwana\nd* akaenda, akawaua wanajeshi 185,000 katika kambi ya Waashuru. Wenzao walipoamka asubuhi yake, walikuta maiti kila mahali! \¬v