\v=6 \v~=Isaya akawaambia, “Mwambieni bwana wenu, ‘Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*: Usiogope kwa hayo uliyoyasikia, yale maneno ambayo watumishi wa mfalme wa Ashuru wamenitukana nayo. \¬v