\p \v=15 \v~=Malaika wa \nd Bwana\nd* akamwambia Eliya, “Shuka pamoja naye, usimwogope.” Hivyo Eliya akainuka na kushuka pamoja naye kwa mfalme. \¬v \¬p