\p \v=11 \v~=Ndipo nabii Isaya akamwita \nd Bwana\nd*, naye \nd Bwana\nd* akakifanya kivuli kurudi nyuma hatua kumi ambazo kilikuwa kimeshuka kwenye ngazi ya Ahazi. \¬v \¬p