\p \v=19 \v~=Hezekia akamjibu Isaya, “Neno la \nd Bwana\nd* ulilosema ni jema.” Kwa kuwa alifikiri, “Lakini si patakuwa na amani na usalama wakati wa uhai wangu?” \¬v \¬p