\v=5 \v~=“Rudi ukamwambie Hezekia, kiongozi wa watu wangu, ‘Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*, Mungu wa baba yako Daudi: Nimeyasikia maombi yako na nimeona machozi yako; nitakuponya. Siku ya tatu kuanzia sasa utapanda kwenda Hekalu la \nd Bwana\nd*. \¬v