\p \v=9 \v~=Isaya akajibu, “Hii ndiyo ishara ya \nd Bwana\nd* kwako kwamba \nd Bwana\nd* atafanya kile alichoahidi: Je, kivuli kiende hatua kumi mbele, au kivuli kirudi nyuma hatua kumi?” \¬v \¬p