\v=12 \v~=Kwa hiyo hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli: Nitaleta maafa makubwa juu ya Yerusalemu na Yuda, kiasi kwamba masikio ya kila mmoja atakayesikia habari zake yatawasha. \¬v