\v=2 \v~=Akafanya maovu machoni pa \nd Bwana\nd*, akafuata desturi za machukizo za mataifa ambayo \nd Bwana\nd* aliyafukuza mbele ya Waisraeli. \¬v