\p \v=23 \v~=Watumishi wa Amoni wakafanya fitina juu yake, nao wakamuulia kwake nyumbani. \¬v