\v=6 \v~=Akamtoa kafara mwanawe mwenyewe katika moto, akafanya uchawi na uaguzi, na akataka shauri kwa wapiga ramli na kwa mizimu. Akafanya maovu mengi sana machoni mwa \nd Bwana\nd* na kumghadhibisha. \¬v \¬p