\p \v=7 \v~=Akachukua nguzo ya Ashera aliyoichonga na kuiweka katika Hekalu, ambalo \nd Bwana\nd* alikuwa amemwambia Daudi na mwanawe Solomoni, “Katika Hekalu hili na katika Yerusalemu niliouchagua kutoka kabila zote za Israeli, nitaliweka Jina langu milele. \¬v