\v=19 \v~=Kwa kuwa moyo wako ulikuwa msikivu na ulijinyenyekeza mbele za \nd Bwana\nd* uliposikia kile nilichosema dhidi ya mahali hapa na watu wake, kwamba wangelaaniwa na kuachwa ukiwa, basi kwa sababu uliyararua mavazi yako na kulia mbele zangu, nimekusikia, asema \nd Bwana\nd*. \¬v