\v=2 \v~=Akafanya yaliyo mema machoni pa \nd Bwana\nd* na kuenenda katika njia zote za Daudi baba yake. Hakugeuka upande wa kuume wala wa kushoto. \¬v \¬p