\v=4 \v~=“Panda uende kwa Hilkia, kuhani mkuu, umwambie ahesabu zile fedha ambazo zimeletwa katika Hekalu la \nd Bwana\nd*, ambazo mabawabu wamekusanya kutoka kwa watu. \¬v