\p \v=8 \v~=Hilkia kuhani mkuu akamwambia Shafani mwandishi, “Nimekipata Kitabu cha Sheria ndani ya Hekalu la \nd Bwana\nd*.” Akampa Shafani, ambaye alikisoma. \¬v