\v=9 \v~=Kisha Shafani mwandishi akamwendea mfalme na kumpa taarifa akisema: “Maafisa wako wametoa ile fedha ambayo ilikuwa ndani ya Hekalu la \nd Bwana\nd* na imekabidhiwa mikononi mwa wasimamizi wa marekebisho ya Hekalu.” \¬v