\v=16 \v~=Kisha Yosia akatazama huku na huko, naye alipoona makaburi yaliyokuwa huko kwenye kilima, akaamuru mifupa itolewe humo na akaichoma juu ya madhabahu ya Betheli ili kupanajisi. Hili lilitokea kulingana na neno la \nd Bwana\nd* lililosemwa na mtu wa Mungu ambaye alitangulia kusema mambo haya. \¬v \¬p