\p \v=26 \v~=Hata hivyo, \nd Bwana\nd* hakuacha ghadhabu yake iliyowaka dhidi ya Yuda kwa sababu ya yale yote ambayo Manase alikuwa amefanya kumghadhibisha. \¬v