\v=3 \v~=Mfalme akasimama karibu na nguzo, na kufanya upya agano mbele za \nd Bwana\nd*: yaani kumfuata \nd Bwana\nd* na kuzishika amri zake, maagizo na sheria kwa moyo wake wote na kwa roho yake yote, hivyo kuyathibitisha maneno ya agano yaliyoandikwa katika kitabu hiki. Kisha watu wote wakajifunga wenyewe kwa kiapo katika agano. \¬v \¬p