\v=33 \v~=Farao Neko akamfunga kwa minyororo huko Ribla katika nchi ya Hamathi ili asiweze kutawala huko Yerusalemu, naye akatoza kodi ya talanta mia moja\f + \fr 23:33 \ft Talanta 100 za fedha ni sawa na tani 3.4.\f* za fedha, na talanta moja ya dhahabu\f + \fr 23:33 \ft Talanta moja ya dhahabu ni sawa na kilo 34.\f* katika Yuda. \¬v