\v=6 \v~=Akaiondoa nguzo ya Ashera kutoka kwenye Hekalu la \nd Bwana\nd*, na kuipeleka kwenye Bonde la Kidroni nje ya Yerusalemu, akaiteketeza huko. Akaisaga hadi ikawa unga na kusambaza hilo vumbi juu ya makaburi ya watu wa kawaida. \¬v