\v=13 \v~=Kama vile \nd Bwana\nd* alivyokuwa amesema, Nebukadneza akaondoa hazina yote kutoka Hekalu la \nd Bwana\nd* na kutoka jumba la mfalme, akavichukua vyombo vyote vya dhahabu ambavyo Solomoni mfalme wa Israeli alikuwa amevitengeneza kwa ajili ya Hekalu la \nd Bwana\nd*. \¬v