\v=2 \v~=\nd Bwana\nd* akatuma wavamiaji wa Wakaldayo, Waaramu, Wamoabu na Waamoni ili kumshambulia. Aliwatuma kuiangamiza Yuda sawasawa na neno la \nd Bwana\nd* lililosemwa na watumishi wake manabii. \¬v