\v=3 \v~=Hakika mambo haya yalitokea Yuda kulingana na agizo la \nd Bwana\nd*, ili kuwaondoa kutoka machoni pake kwa sababu ya dhambi za Manase na yote aliyoyafanya, \¬v