\p \v=13 \v~=Wakaldayo walivunja vipande zile nguzo za shaba, vile vishikilio vya shaba vilivyohamishika, na ile Bahari ya shaba, ambavyo vyote vilikuwa katika Hekalu la \nd Bwana\nd*. Hivyo wakaichukua hiyo shaba na kuipeleka Babeli. \¬v