\p \v=16 \v~=Shaba iliyotokana na zile nguzo mbili, ile Bahari na vile vishikilio vilivyohamishika, ambavyo Solomoni alikuwa ametengeneza kwa ajili ya Hekalu la \nd Bwana\nd*, ilikuwa na uzito usioweza kupimika. \¬v