\v=16 \v~=Wakasema, “Tazama, sisi watumishi wako tunao watu hamsini wenye uwezo. Waruhusu waende kumtafuta bwana wako. Labda Roho wa \nd Bwana\nd* amemtwaa na kumweka katika mlima fulani au bonde fulani.” \¬p \p \p~<