\v=24 \v~=Akageuka, akawatazama na kuwalaani kwa Jina la \nd Bwana\nd*. Kisha dubu wawili wa kike wakatokea mwituni na kuwararua vijana arobaini na wawili miongoni mwao. \¬v