\p \v=12 \v~=Yehoshafati akasema, “Neno la \nd Bwana\nd* liko pamoja naye.” Kwa hiyo mfalme wa Israeli na Yehoshafati pamoja na mfalme wa Edomu wakamwendea. \¬v \¬p