\p \v=14 \v~=Elisha akasema, “Hakika, kama \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote aishivyo ambaye ninamtumikia, kama si kuheshimu Yehoshafati mfalme wa Yuda, nisingekutazama wala hata kukutupia jicho. \¬v