\v=17 \v~=Kwa kuwa hivi ndivyo asemavyo \nd Bwana\nd*: Hamtaona upepo wala mvua, lakini bonde hili litajaa maji, nanyi pamoja na ngʼombe wenu na wanyama wenu wengine mtakunywa. \¬v