\v=2 \v~=Akafanya maovu machoni pa \nd Bwana\nd*, lakini sio kama baba yake na mama yake walivyokuwa wamefanya. Akaondoa nguzo ya ibada ya Baali ambayo baba yake alikuwa ameitengeneza. \¬v