\p \v=27 \v~=Alipomfikia huyo mtu wa Mungu pale mlimani, akashika miguu yake. Gehazi akaja ili amwondoe, lakini yule mtu wa Mungu akasema, “Mwache! Yuko katika uchungu mkubwa, lakini \nd Bwana\nd* amenificha jambo hili na hajaniambia kwa nini.” \¬v \¬p