\p \v=30 \v~=Lakini mama mtoto akasema, “Hakika kama \nd Bwana\nd* aishivyo na wewe uishivyo, sitakuacha.” Kwa hiyo Elisha akainuka, akafuatana naye. \¬v \¬p