\p \v=16 \v~=Nabii akajibu, “Hakika kama \nd Bwana\nd* aishivyo, ambaye ninamtumikia, sitapokea kitu hata kimoja.” Ingawa Naamani alimsihi sana, yeye alikataa. \¬v \¬p