\v=18 \v~=Lakini \nd Bwana\nd* na amsamehe mtumishi wake kwa kitu hiki kimoja: Wakati bwana wangu atakapoingia kwenye hekalu la Rimoni ili kusujudu, naye akiwa anauegemea mkono wangu, nami nikasujudu huko pia, wakati nitakaposujudu ndani ya hekalu la Rimoni, \nd Bwana\nd* na amsamehe mtumishi wako kwa ajili ya jambo hili.” \¬v \¬p